Header Ads

Wachezaji wa AS Roma wakatazwa kupiga picha na Drake


Klabu ya As Roma kutoka Italy yapiga marufuku wachezaji wake kupiga picha na Drake hadi mwisho wa msimu huu.

Drake amekuwa hana historia nzuri pale anapopiga picha na wachezaji  basi timu zao zinaenda kufungwa. Roma wanaogombea kucheza UEFA msimu ujao hawataki bahati hiyo mbaya iwakute.

Inaelezwa kuwa Drake alipiga picha amevalia jezi ya Juventus wiki hii na wakapoteza dhidi SPAL mchezo ambao wangeweza kutangazwa mabingwa wa Seria A.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.