Header Ads

Waziri kakunda asema wizara yake inaudhaifu mkubwa katika kusimamia utekelezaji


Waziri Joseph Kakunda amesema Wizara yake ina udhaifu mkubwa katika kusimamia utekelezaji wa sera zilizo chini ya utaratibu kutokana na kukosa uwakilishi wa kitaalamu kwa sekta ya viwanda kwenye sekretarieti za Mikoa na Halmashauri.

Alifafanua kuwa ukosefu wa Maafisa wa viwanda katika ngazi hizo kumesababisha udhaifu kwenye upatikanaji wa taarifa sahihi kuhusu usajili na leseni za viwanda, uwezo wa uzalishaji, idadi ya wafanyakazi, shehena zilizouzwa ndani na nje ya nchi na zilizo kwenye maghala.

Akiongea jana jijini Dar alieleza kuwa "Ni vizuri utaratibu wa utekelezaji wa majukumu ikiwamo takwimu za viwanda uanzie kwenye Halmashauri, Mkoa ndipo uje Makao Makuu ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kuratibiwa na TAMISEMI."

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.